Mume akionesha chupi ya mkewe
Msanii chipukizi wa filamu ambae ni mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Remina Rufyagira" Mwimbe" akificha sura yake kukwepa kamera za mapapalazi.
NAUA: Kijana mwenye mke kushoto akimkaba koo director huyo kwenye purukushani ya fumanizi hilo.
Hapa ofisa wa polisi ambae ilidaiwa toka kitio cha polisi Hananasifu kilichopo Kinondoni akimsimamia msanii huyo kuvaa nguo safari ya kuelekea kituoni.
Mwimbe akiwa haamini kilichotokea huku machozi yakimtoka kwa wingi na kujuta.
Kulia kijana ambae ilidaiwa ni shemeji na Mwimbe akimuuliza maswali shemejie huyo.
NICAS na Mke huyo wa mtu wakielekea kituno huku nyuma wananchi walioshuhudia
tukio hilo.
Mwenye mke aliyefahamika kwa jina la Abdula Sanga akiongea na simu kuwajuza familia ya mchumbaake kuhusu tukio hilo.
Mfuko wa kondom uliokutwa umetumiaka .
Akiongea na paparazi wetu mume wa mischana huyo Abdula
Sanga alianza kuelezea " Nampenda sana mke wangu na ndio maana nilikuwa
nimemruhusu akafanye sanaa lakini baadae niliambiwa na shoga yake kuwa
kuwa bosi wake anataka kumla uroda ili amuweke kwenye kava ya cd ya
filamu yake na kama hatotoa uroda basi hatomuweka" Alisema kijana huyo
ambae ni mfanyabishara.
Abdula Sanga aliendelea kusema baada ya hapo alimuomba huyo rafiki na mkewe ampe ushirikiano ikiwa kumuhabarisha hatua kwa hatua ambapo hadi siku ya tukio alitaarifiwa na wapi wanapokwenda kupeana uroda" Niliandaa askari wangu na tukaweka mtego pale Guest iitwayo Bundo iliyopo Kinondoni Moscow na hatimae mtegowangu ulinasa na kumfuania mke wangu live akiwa na huyo bosi wake wa sanaa" Alisema Sanga kwa jazba.

Aidha
habari zilisema Nicas nae ni mume wa mtu, hata hivyo ndani ya chumba
hicho kulikutwa na kondomu moja iliyotumika kwa maana kwamba tayari mke
huyo alikuwa ameshaliwa kimoja hali iliyoamsha hasira za mume wa mke
huyo na kuanza kumvurumushia makonde msanii huyo hadi polisi
walipoingilia kati.
Hadi papalazi wetu anaondoka eneo la tukio aliacha wananchi kibao wakishuhudia timbwili hilo huku safari ya kuelekea polisi ikifanyika.
No comments:
Post a Comment