TTCL

EQUITY

Saturday, November 16, 2013

DUH! VINGINE NI VIPAJI TU.

 
Ikiwa Mungu amekupa kipaji kwako ni mtaji wa maisha, na ikumbukwe kuwa hata uwe mganga ama mwenye miujiza mikubwa vipi ni vigumu kuiga kipaji cha mwenzio, kila mtu amepewa karama na talanta yake mfano zaidi ni huu ambapo inahitaji uwe umekufama ama kukatwa katwa ili mwili ujikusanye kama nguo ama kujikunja mithili ya nyoka kama picha hizi zinavyo onesha.

No comments:

Post a Comment