TTCL

EQUITY

Thursday, October 17, 2013

WEMA SEPETU AZUA UTATA TENA,ATUPIA KIATU CHA DIAMOND PLATNUM NA KUPOST INTAGRAM


Takribani week sasa habari kubwa kuhusu mastaa Bongo ni story ya Diamond na Wema ,kurudiana
ambapo habari hizo bado ni tata kutokana na wahusika wote kutosema chochote kuhusu mahusiano yao.
ingawa kuna viashiria vingi vinavyozidisha utata wa mahusiano ya wawili hawa waliowah kuwa wapenzi zamani.
Wakati wakiendelea kutuchanganya ,kama unakumbuka tuliweka video ya diamond akikatiza ndani ya mitaa ya China akiwa amevaa nguo nyeusi na viatu vyeupr.
Wema nae alipost picha Ikionyesha amevaa viatu kama alivyoonekana amevaa Diamond,utata siyo??
tazama picha na video kisha u judge mwenyewe.
 
VIDEO HII HAPA..http://www.youtube.com/watch?v=c4y3_QY0ON0&feature=player_embedded

No comments:

Post a Comment