TTCL

EQUITY

Sunday, October 13, 2013

SWAHILI ARTS GROUP; TUMEDHAMIRIA KUFANYA MAPINDUZI YA KISANAA JIJINI ARUSHA

Photo: Kila kitu kinajieleza!! Usikose Ijumaa 18/10 ndani ya barafu (Masai Camp)
Ujio wa swahili arts group ni mapinduzi ya sanaa yetu Arusha, kaulimbiu yetu ni; swahili, sanaa yangu kipaji changu kwa jamii yangu.
mashabiki wetu wote tuna waomba mshiriki kufika ili kuweza kuona nini azima yetu kwenu na mchango weni ni wamuhimu sana kwetu.
 
 Photo: OMG.......!!!

 Baadhi ya wasanii wa sanaa ya maonesho ya sarakasi wakifanya mazoezi kwaajili ya maandalizi ya shoo ya Ijumaa 18/10 ndani ya barafu (Masai Camp)

Photo
Baadhi ya wasanii wa maigizo wa kundi la swahili arts group wakiwa katika mazoezi wakifanya mazoezi.


Wasanii wakisikiliza mafunzo ya hisia na kanuni za namna ya kumili jukwaa bila kumchosha mtazamaji, hii yote ikiwa ni maandalizi ya shoo ya Ijumaa 18/10 katika viwanja vya Barafu Masai Camp.

 Sikuhiyo kutakua na burudani ya uhakika, ni usiku wa hakuna matata ndani ya Barafu Masai Camp. usikubali kuikosa shoo hii, njoo uoneshe ushiriki wako kwakuiungamkono sanaa. Swahili arts group itakupa ladha zote unazohitaji, ushiriki wako ni wamuhimu usitakekusimuliwa njoo wewe na jamaa yako. kwani Arusha ni yetu na Swahili ni yetu mazee....

No comments:

Post a Comment