Pia Kwa yeyote atakaeguswa tafadhali unaweza kuwasiliana na Mzee wetu kupitia, M-PESA kwa kutumia namba ya Said Ngamba (Mzee Small) 0754647265 na TIGO PESA kwa kutumia namba ya mkewe 0658111311
Mzee small ni mmoja wa waigizaji nguli sana hapa nchini aliyeleta mchango wa kipekee sana kwenye sanaa ya maigizo upande wa vichekesho hivyo tuzidi kumuombea na kumkumbuka mzee wetu huyu apone haraka.
No comments:
Post a Comment