JACKLINE WOLPER AUGUA GHAFLA NA KULAZWA
Msanii wa Filam Tanzania ajulikanae
kwa jina la Wolper yuko hoi Hospitalini huku akiomba Dua kwa wapenzi
wake wamuombee ili apone haraka. Wolper ameripot taarifa za kuumwa kwake
katika akaunti yake ya facebook na kuainisha ugonjwa unaomsumbua ni
Maralia na ujumbe huo umesomeka hivi:
No comments:
Post a Comment