HAWA NDO WATOTO WA BILIONEA ALIYE UWAWA ARUSHA WAKIWA TAYARI KUSIKILIZA KESI DHIDI YA MAUAJI YA BABA YAO
Watoto wa marehemu Erasto Msuya wakiwa
na shangazi zao Esta Msuya (kushoto) na Antuja Msuya (kulia) kwenye
Mahakama ya Moshi Mkoani Kilimanjarao jana ambapo walishuhuduia
watuhumiwa wa mauaji ya baba yao wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu
mkazi Munga Sabuni na
Mwendesha mashtaka Stella Majaliwa
aliwataja washitakiwa hao kuwa ni Shariff Mohamed Athumani (31) Shwaibu
Jumanne Said (38) na Musa Mangu (30).picha na mdau Joseph Lyimo
No comments:
Post a Comment