TTCL

EQUITY

Thursday, June 27, 2013

HEKA HEKA ZA UGENI WA OBAMA

Hoteli zafanyiwa ukaguzi wa usafi

 
Ofisa Uhusiano wa Manispaa hiyo, Sebastian Mhowera alisema kazi hiyo inaendelea vizuri na maofisa biashara wanatembelea hoteli moja hadi nyingine kutoa elimu na kuwahimiza wamiliki kuimarisha usalama.
Mhowera alisema wageni hao ambao wanatarajiwa kuanza kuwasili nchini Juni 28 mwaka huu, robo tatu wanatarajiwa kukaa hoteli zilizopo katika wilaya hiyo.
Hoteli nyingi zikiwa ni zile za ufukweni mwa bahari na maeneo mengine.
Alisema maeneo mengine yanafanyiwa maandalizi ya kawaida.

No comments:

Post a Comment