TTCL

EQUITY

Thursday, June 27, 2013

BAKHRESA NI MWEKEZAJI MWENYE MTAZAMO CHANYA

MUONEKANO WA BANDARI YA ZANZIBAR SASA.

Ikiwa ni juhudi za mh. bhakhresa ambaye ni mwekezaji wa ndani na mfaya biashara mkubwa nchini Tanzania akiwa anamiliki Klabu ya mpira wa miguu, uwanja, Televisheni na Kiwanda cha Azam. hakika kwa kazi hii ni dhahiri anahistahili pongezi kwa kazi nzuri na mfano anaouonesha kwa watu wenye uwezo mkubwa wa kifedha kama yeye.iwapo bakhresa ataendelea na mtazamo huu nidhahiri atakuwa ni mtu anaye jiandalia hazina hai yenye mizizi katika maisha yake.















No comments:

Post a Comment