TTCL

EQUITY

Wednesday, April 6, 2016

Majaliwa aongoza kikao cha wabunge cha kupokea taarifa ya ukomo cha bajeti ya serikali

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa ameongoza kikao cha wabunge kikiwa na kusudio la kupokea taarifa ya ukomo wa bajeti ya 2015/ 2016 ambapo hivi karibuni wanataraji kurudi bungeni kwa ajili ya kupitisha bajeti ya 2016/ 2017.

IMGS0491
 Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya mawaziri baada ya kuongoza kikao cha Wabunge cha  kupokea mapendekezo ya mpango wa maendeleo na ukomo wa bajeti ya serikali  kwenye kituo cha mikutano cha kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam  Aprili 6, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

No comments:

Post a Comment