TTCL

EQUITY

Friday, January 29, 2016

SAMATTA ATAMBULISHWA RASMI GENK

Samatta amepewa jezji yenye namba 77 mgongoni
Samatta amepewa jezji yenye namba 77 mgongoni Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na mchezaji bora wa ndani wa Afrika Mbwana Samatta leo ametambulishwa rasmi na ameshakabidhiwa jezi na klabu ya Genk ya nchini Ubelgiji kwa ajili ya kuanza majumu mapya ya kutupia wavuni akiwa na klabu hiyo.

Mbwana Samatta akitambulishwa rasmi mbele ya waandishi wa habari
 Mbwana Samatta akitambulishwa rasmi mbele ya waandishi wa habari Kwa mujibu wa mtandao wa klabu ya Genk, Samatta amesaini mkataba unaomalizika msimu wa mwaka 2019-2020.
Samatta amejiunga na Genk akitokea TP Mazembe ambapo alicheza kwa miaka mitano (5) tangu mwaka 2011 alipojiunga na klabu hiyo akitokea klabu ya Simba SC hadi mwaka 2015.


Mkataba wa Samatta na Mazembe ulikuwa unamalizika mwezi April mwaka huu lakini tayari amesaini mkaba mpya na klabu hiyo ya barani Ulaya.

Samatta kwenye picha ya pamoja na moja ya viongozi wa Genk
Samatta kwenye picha ya pamoja na moja ya viongozi wa Genk Angalia picha zaidi za Samatta wakati akitambulishwa rasmi mbele ya waandishi wa habari.

IMG-20160129-WA0029
Viongozi wa klabu ya Genk wakimkizungumza na waandishi wa habari hawapo picha, kuhusu mkataba wa Samatta baada ya kumkabidhi jezi ya klabu hiyo kwa ishara tayari ya majukumu mapya.

Samatta akiwa kwenye press conference akizungumza na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza tangu ajiunge na klabu hiyo
Samatta akiwa kwenye press conference akizungumza na waandishi wa habari.
IMG-20160129-WA0035Picha ya X-ray inayoonesha mguu wa Samatta wakati akifanyiwa vipimo na kufanikiwa kufaulu vizuri
kushoto ni Picha ya X-ray inayoonesha mguu wa kushoto wa Samatta wakati
akifanyiwa vipimo na kufanikiwa kufaulu vizuri

No comments:

Post a Comment