Mkuu
wa kitengo cha masoko, Bw. Aloyce Ntukamazina akiwaeleza waandishi wa
habari juu ya mkataba walioingia na Bi Rose Ndauka kama balozi mpya
2016.
Balozi mpya wa Mfuko wa GEPF, Rose Ndauka akitoa neno la shukurani pamoja na kuelezea mikakati yake ya kuutangaza Mfuko wa GEPF.
Mkuu wa kitengo cha Masoko, Bw. Aloyce Ntukamazina na Balozi mpya wa GEPF, Rose Ndauka wakitia saini mkataba huo.
Baada ya kutia saini rasmi Bw. Aloyce Ntukamazina akimkabidhi rasmi mkataba huo tayari kwa kuanza kazi.
No comments:
Post a Comment