TTCL

EQUITY

Monday, December 7, 2015

Vazi la khanga la Kitchen Party Gala

Wanawake wakiwa katika vazi la Khanga
Wanawake wakiwa katika vazi la Khanga

Vazi la khanga na vitenge limeonekana kurudi kwa kasi katika nchi ya Tanzania, ambapo wanawake kwa wanaume wamekuwa wakishona nguo kwa mitindo mbalimbali na hivyo kuchukua sura mpya katika mitindo.

Miriam Mbewa msemaji wa Green Investment
Miriam Mbewa msemaji wa Green Investment

Katika kipindi cha hivi karibuni wanawake kutoka sehemu mbalimbali jijini Dar es salaam katika tamasha la kitchen party gala likiwa limebeba ujumbe wa mwanamke simama na timiza ndoto zako.

Waandaaji w tamasha hilo Dina Marios na Vida Mndolwa
Waandaaji w tamasha hilo Dina Marios na Vida Mndolwa

Katika tamasha hilo pia ilichezeshwa droo ya kushinda safari ya kwenda Afrika Kusini, kwa siku mbili alishinda, iliyodhaminiwa na kinyago tours pia kulikuwa na droo ya kumtafuta mshindi wa safari ya Mikumi National park.

Mshindi wa safari Mikumi National Park Edna Haki Ngowi akikabidhiwa cheti na Dina Marious
Mshindi wa safari Mikumi National Park Edna Haki Ngowi akikabidhiwa cheti na Dina Marious

No comments:

Post a Comment