Waziri
wa Nishati na Madini Profesa SOSPETER MUHONGO amewahakikishia wananchi
kote nchini kuwa atahakikisha wananchi ambao hawajapata huduma ya umeme
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo
Waziri wa Nishati na Madini Profesa SOSPETER MUHONGO
amewahakikishia wananchi kote nchini kuwa atahakikisha wananchi ambao
hawajapata huduma ya umeme wanapata huduma hiyo haraka kupitia mradi
wakala wa umeme vijijini ili waweze kuanzisha miradi ya kiuchumi ikiwemo
viwanda vidogo.
Waziri MUHONGO amesema kwa sababu nchi inataka kukuza uchumi ikiwemo suala la ujenzi wa viwanda hivyo ni lazima umeme nchini uwe wa uhakika na wa bei nafuu katika maeneo yote nchini mijini na vijijini.
Ameeleza hayo katika Kikao cha Kazi Kati yake na wapiga kura wake kutoka vijijini 68 lengo ni kujadili masuala ya uchumi na maendeleo katika jimbo la MUSOMA Vijijini

No comments:
Post a Comment