TTCL

EQUITY

Saturday, December 19, 2015

Picha za ajali iliyohusisha Mabasi mawili na Lori moja Jijini Mbeya

ajali (1)
Hali ya Ajalia ilivyotokea.
ajali (2) ajali (3)
 Mashuhuda pamoja na baadhi ya manusura wa ajali wakiwa katika hali ya taharuki.
Magari matatu yamepata ajali mkoani Mbeya leo asubuhi, ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Hood linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Arusha, basi la Best linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Mwanza pamoja na lori katika eneo la Inyala mkoani Mbeya.
Katika ajali hiyo mtu mmoja amejeruhiwa vibaya na wengine kupata majeraha madogo madogo. Kamanda wa polis Mkoani mbeya ACP Ahmed Msangi amedhibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment