TTCL

EQUITY

Wednesday, December 16, 2015

MANENO KUNTU YA FAIZA ALLY SIKU YA BIRTHDAY PARTY YAKE

faizaally_Unakosaje sasa birthday ya super star ✨ Faiza Ally na vivazi flan vyake amazing ๐Ÿ‘  Tag rafiki yako mwambie twende zetu tukamuone live tupige nae picha kwenye red capet ๐Ÿ“ท - huku tukiwa tuna rushwa na ngoma kali kutoka kwa Dj @ huku tukipata cocktail na kuniselfisha ... Mtag mwenzio mwambie twenzetu kwa @faizaally_ tukakate keti-๐ŸŽ‚ tucheze muziki ๐ŸŽถ tunywe๐Ÿธ๐Ÿป tupige picha๐Ÿ“ท tufahamiane ๐Ÿ‘ญ๐Ÿ‘ซ๐Ÿ‘ฌ na usisahau mambo mawili kama umezaliwa tarehe moja Na mm njoo na keki tushereheke na mimi na ukipendeza kuni zidi nakupa laki maana mpaka sasa sioni mm'bongo wa kunifunika hahaaa unakosaje sasa๐Ÿ‘ฏ๐Ÿ‘ฏ๐Ÿ‘ฏ na wakati sisi tunafurahi na huku tunafurahisha watoto yatima kwa kuwanunulia mahitaji yao - ili ujumuike nasi piga cm number 0754242888 ili ujipatie tiketi yako mapema VUnakosaje sasa kama mm ntakuwepo na mastaa kibao - njoo umependeza tujiselfishe ni siku ya tarehe 17 December ni birthday ya mkali wa mavazi flan Hivi amazing ๐Ÿ˜… Na ameahidi atakae mshinda anampaka laki moja yake mkononi maana amesema haamini kama kuna mbongo atamfunika - kutakua na cocktail na red capet - tuta rushwa na Dj rommys - tutaka keki na kila alie zaliwa tarehe hivyo -tutakunywa tutacheza mziki - tutapiga Picha na wakati sisi tunafurahi tunatengeneza tabasamu kwa mayatima kwa vile viingilio vyenu kupata mahitaji yao - ili kutimiza yote hayo picha simu 0754242888 kupata tiketi yako VIP 50000 na NORMAL 30000 wahi sasa tiketi Ni chache - MTAG mwenzio mwambie twenzetu Kwa @faizaally

No comments:

Post a Comment