TTCL

EQUITY

Tuesday, December 22, 2015

Majaliwa akutana na Askofu Ngonyani wa Lindi

IMGS6065
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi Mhashamu, Anthony Ngonyani kwenye Ikulu ndogo ya Ruangwa Disemba 22, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS6082
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi Mhashamu Anthony Ngonyani kwenye Ikulu ndogo ya Ruangwa Disemba  22, 2015.

No comments:

Post a Comment