TTCL

EQUITY

Monday, December 7, 2015

HII NDIO AINA MPYA YA MAVAZI KWA WANAUME..


kwanza nianze kwa kusema napinga sana jeans zinazo wafanya wanaume kuweza kupiga mlegezo na kuwezo kuonyesha boxer nje nje, ila sio kwamba ndo nakubaliana na vazi hili jipya


New trend? Meggings, male leggings made from lycra, could become a seasonal staple thanks to two designers who are trying to make them mainstream
Luke Shipley na Tom Hunt ni wana mitindo wawili wakiingereza waliozindua aina mpya ya Nguo za Kiume zilizopewa jina la (Meggings ) ambazo zitawawezesha kuwa huru na kujisiskia wepesi pindi watakapo kua wamezivaa. Ni aina flani ya nguo ambayo imezoeleka kuvaliwa na jinsia ya kike, inajulikana kama Leggings. Walizindua rasmi aina hii ya nguo huko Uingereza baada ya wao kulazimishwa kuvaa aina hio kwenye mmoja ya Maonyesho ya Mavazi.

Stylish? Meggings are the natural evolution from the skinny jean and the once widespread baggy jean, claim sTitch founders, (left to right) Joe Hollinworth, Tom Hunt and Luke Shipley

Vibrant designs: Priced at £25, sTitch leggings are available in an array of fun designs and even come complete with a back pocket to store your valuablesVibrant designs: Priced at £25, sTitch leggings are available in an array of fun designs and even come complete with a back pocket to store your valuables
Aina hio ya nguo ya ambao ni kwa ajiri ya wanaume imekadiriwa kuuzwa kwa takribani £25, huku vazi hilo likiungwa mkono na watu maarufu kama Russel Brand na Justin Bieber.

 MeggingsMeggings

"huu ni muda wa wanaume kuvaa wanachokitaka na kuwa huru, tumefikiria na tumeona kwamba kwa kufanya hivi itasaidia watu kujielewa na kuwa huru" waliandika kupitia mtandao wao.

Jaketi lililochanganjwa na kitenge.
Jaketi kilichochanganjwa na kitenge.

KITENGE MEN 2

TENGE ILO

 Mara nyingi tumezoea kuona kitenge kikishonwa na kuvaliwa na wanawake lakini kwa sasa kitenge kimeonekana kushika chati kwa kunogesha mwonekano wa wanaume kwa kuchanganya na material ya nguo nyingine tofauti na kitenge.hivyo kuwafanya wanaume wengi kutoka kiafrika zaidi.



KITENGE 4

No comments:

Post a Comment