TTCL

EQUITY

Tuesday, December 22, 2015

STORY IN THE CORIDAL; HAMISA MOBETO

hamisa77 

Ni mrembo, Model, Fashionista, Actress,Video queen, na Mama huyu ni HAMISA MOBETO, I dont know how she does all this but she surely does it with style, Hamisa ni mama wa mtoto mmoja sasa but figure yake imerudi kuwa kama zamani sijui alifanya diet au ni maumbile tu maana wengine mungu kawajaalia na neema hiyo ya kujifungua na kurudia shape zao bila mazoezi au diets.

hamisa6hamisa
Hamisa kwa insta page yake utakutana na picha zake nyingi akiwa kapigilia mikato mikali iwe ni otds au otn yeye huwa anapendeza siku zote.

hamisa8 hamisa78
Hata dish dash hizi anavaa na anapendezaa

hamisa4
Kikazi zaidi aki model vivazi vya Amina design

hamisa9
Anatoka kihivi ndani ya skinny jeans

hamis22 928853_759710104174509_363497737_n
Vitenge pia huvaa na kumwonesha mrembo sana

hamisa3hamisa33
Throwback kidogo ya Martenity styles zake hizi tuli-post hapa hata kipindi ana mimba alikuwa anapendeza hakujiachia kidogo kama hivi.

Hamisa Hassani Mobeto amezaliwa mwaka 1994 mkoani Mwanza na kabila lake ni Mnyamwezi. Mwanzo wake katika tasnia ya u-miss na modelling ilianza baada ya hamisa kuibuka mshindi wa shindano la  Miss XXL BACK TO SCHOOL BASH  Mwaka 2010 iliyoandaliwa na kipindi cha XXL kutoka Clouds Fm. Mwaka 2011 Hamisa alishiriki mashindano ya Miss Dar Indian Ocean na alifanikiwa kushika nafasi ya pili , pia mwaka huohuo alikua mshindi wa pili wa miss kinondoni na kufanikiwa kuingia kwenye Nusu fainali ya miss Tanzania.

Hapa ni katika kivazi cha mtoko na kimemtoa sana, ukimkuta njiani lazima uzubae