TTCL

EQUITY

Wednesday, February 18, 2015

MAGAIDI WA TANGA MBARONI.....MWILI WA MWANAJESHI WA JWTZ ALIYEUAWA KATIKA MAPIGANO HAYO WAAGWA

Serikali imetoa taarifa rasmi kuhusu uhalifu uliotikisa mkoani Tanga, ikisema hali ni shwari na umma wa Watanzania upuuze taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikitia hofu.

Aidha, imesema  watu kadhaa wanashikiliwa wakihusishwa na uhalifu huo.
 
“Tunawashikilia ila mpaka sasa siwezi kukueleza idadi yao na kwamba ni wa kikundi cha ugaidi au la. Hao watu tunafanya nao mahojiano ili kuweza kuelewa kama wanahusika kwenye tukio hilo,”  alisema Kaimu Kamanda wa Polisi  wa Mkoa wa Tanga, Juma Ndaki.

No comments:

Post a Comment