TTCL

EQUITY

Tuesday, February 17, 2015

KILICHOAMULIWA KUHUSU WATU WANAOSAMBAZA PICHA NA VIDEO ZA UTUPU ZA WAPENZI WAO

Kumekuwa na ishu ya kuvuja kwa picha za utupu za watu mbalimbali ikiwemo mastaa kwenye mitandao, wakati mwingine tumesikia wenye picha hizo wakilalamika kwamba zimevujishwa na wapenzi wao wa zamani.


Kutokana na kuwepo kwa malalamiko ya aina hii, Uingereza wamepitisha Sheria, iwapo ukivujisha picha za utupu za mtu yoyote bila idhini yake ni kifungo cha miaka miwili pamoja na faini.

Kwa Marekani hii Sheria imepitishwa kwenye majimbo 12 tayari.

Ishu za kuvujisha picha, na video, unadhani ikipitishwa Sheria itasaidia kukomesha hii?
toa maoni yako....

No comments:

Post a Comment