TTCL

EQUITY

Monday, February 16, 2015

KIKAKO CHA BARAZA LA UONGOZI WA KANDA YA KASKAZINI -KATIKA HOTELI YA THE NEW ARUSHA HOTEL


Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman A. Mbowe akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini Mhe Israel Natse wakiwa wanaingia ukumbi wa JUMUIKA



Viongozi wa kuu wa Chadema Taifa pamoja na Kanda wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kikao cha baraza la kanda ya kaskazini kuanza.

Waheshimiwa wabunge wakiwa wanaimba wimbo wa Taifa.

Katibu wa Kanda ya kaskazini Mhe. Amani Golugwa akiwakaribisha wajumbe wa kikao cha baraza la Kanda ya Kaskazini , wajumbe wa kikao wametoka katika majimbo 33 ya kanda.

 
Naibu katibu Mkuu Zanzibar Mhe. Salimu Mwalimu akiongea na Wajumbe wa baraza la uongozi wa kanda ,na kufafanua majukumu na utekelezaji wa kanda katika ujenzi na maendeleo ya chama.


Mwenyekiti wa Kanda ya kaskazini Mhe. Israel Nates akitoa neno la ufunguzi kwa wajumbe na kumkaribisha Naibu katibu Mkuu Zanzibar.

 
 
 Mhe. Freeman A. Mbowe akiwahutubia wajumbe wa baraza la kanda pamoja na waandishi wa habari, akifafanua baadhi ya mambo ambayo yanaendelea katika nchi yetu kwa sasa, pia akiitaka tume kuwa na msimamo wa siku na tarehe ya kuanza zoezi la uandikishwaji wa Wanachi kwenye daftari la kupiga kura.

No comments:

Post a Comment