TTCL

EQUITY

Monday, December 15, 2014

Wastara alazwa Hospitali awaacha Mashabiki Njia Panda

Picha Hizi Za Wastara Za Kulazwa  Hospitali Zawaacha Mashabiki Njia Panda

Picha hizi za muigizaji, Wastara Juma,akiwa hospitali amelazwa baada ya kufanyiwa vipimo zimewaacha mashabiki katika njia panda, wengine wakiamini anaumwa na kuanza kuampa pole huku wengine wakiamini yupo kazini yaani anatengeneza filamu.
Picha Hizi Za Wastara Za Kulazwa  Hospitali Zawaacha Mashabiki Njia Panda 1
Picha hizi aliziweka Wastara mwenyewe mtandaoni bila ya kuandika chochote, na hadi sasa ajajibu hata comment moja kutoka kwa followers wake ambao wanataka athibitishe kama kweli ni mgojwa.
Bongomovies.com haikufanikiwa kumpata Wastara kwa njia ya simu iliakupata ufafnuzi juu ya picha hizi.
Update
Wastara amethibitisha kuwa ni kweli anaumwa. Tunakuombea upone haraka.

No comments:

Post a Comment