TTCL

EQUITY

Monday, December 15, 2014

Story in the cordial: Riyama Am-Surprise Farid Uwezo Kwa Keki ya Kamera

VIJIMAMBO: Riyama Am-Surprise Farid Uwezo Kwa Keki ya Kamera

Hivi ni vijimambo tu.Mwigizaji wa filamu, Riyama Ally,alimfanyia  surprise mpigapicha mahili wa filamu hapa nchini, Farid Uwezo kwa kumtengenezea keki yenye umbo la cammera. Ilikuwaje? Riyama anafunguka;
Udugu sio lazima kuzaliwa tumbo moja mkikinaiana mkapendana kwa dhati na mkaheshimiana basi ni undugu tosha nilianza kumjua faridi miaka saba iliopita mpaka leo amekua ndugu yangu kabla hajaanza kupiga picha mpaka sasa amekua gumzo ktk tasniayetu ya filamu. 
Ila hakuwai kunidharau hakuwahi kunisahau hata sikumoja tunasaidiana ktk shida na raha.
Jana nikamueza nikamdanya aje tusain mkataba wakazi alipo fika akuta nimemuandalia cake ya camera.
Alifurahi mpaka alikua anatetemeka nikamwambia wewe ni zaidi ya rafiki kwangu ,nduguyangu.Nakupendasana fariduwezo.
 VIJIMAMBO: Riyama Am-Surprise Farid Uwezo Kwa Keki ya Kamera 1

Farid naealifunguka
Kiukweli siamin kilicho tokea usiku huu kweli dada yangu mpenz umenifanya nisiami kilicho tokea RIAMA ALLY kwakunifanyia hichi mungu akulinde milele na akupe maisha marefu kiukweli siamin siamian unanita kuwa kuna kazi kumbe nihichi Riyama nakupenda sana dada yangu Riyama.

Alicho nifanyia jana kiukweli sito msahau jaman dahaa mungu jaman mlinde hiyu jaman umetoka safari na uchovu uliokuanao lakin ukaona hapana lazima nimuone mdogo wangu na ukanifanyia kitu ambacho siku tarajia nakupenda sana acha tu niseme.

No comments:

Post a Comment