TTCL

EQUITY

Monday, December 15, 2014

STEVEN WASIRA; VYAMA VYA UPINZANI NI VYA MATUKIO...

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais (Uratibu na Mahusiano) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bunda mkoani Mara Stephen Wassira, amesema kwamba vyama vya upinzani ni vya matukio.Wassira alisema kwamba wapinzani walitumia muda mrefu kuzungumzia sakata ya wizi wa fedha katika akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kutoka ndani ya Bunge kwenda kupinga mchakato wa Katiba mpya na sasa wamejikita katika nyimbo za sakata ya wizi wa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow katika BoT na Escrow na kupinga ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za kata.

Unazungumziaje kauli hii?

No comments:

Post a Comment