TTCL

EQUITY

Sunday, December 7, 2014

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr JAKAYA MRISHO KIKWETE anaendelea vizuri na Mazoezi

Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi amesema Rais KIKWETE anafanya mazoezi mara mbili kwa siku na maendeleo ni mazuri.

Rais anafanya mazoezi hayo ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya madaktari walio, fanyia upasuaji wa kuondoa tezi dume, na anatakiwa kutofanya kazi ngumu kwa muda wa wiki sita.Anafanya mazoezi hayo kwa kutembea katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam.