TTCL

EQUITY

Tuesday, December 2, 2014

Mkuu wa polisi Kenya ajiuzulu

David Kimaiyo
Mkuu wa polisi nchini Kenya Inspekta Generali David Kimayo amejiuzulu kufuatia mfululizo wa mashambulizi ya Al Shabaab pamoja na utovu wa usalama nchini Kenya.
Wakati huohuo Kenyatta amempendekeza waziri mkuu mpya wa usalama Joseph Nkaiseri kuchukua nafasi ya aliyekuwa waziri wa usalama Ole Lenku.
Taarifa zaidi zitakujia hivi punde