TTCL

EQUITY

Tuesday, November 25, 2014

Fashion kwa wanaume na wanawake ni mitindo mipya kabisa


Wahenga walinena kuwa umalidadi huficha umasikini hapa ndio nikabaini kwanini watu wanapenda kupendeza kwa kuvaa mavazi yaliyobuniwa ili kuendana na miili yao ili kukidhi hili Shaddy Classic inakuletea baadhi ya mitindo ya mavazi ambayo ukivaa lazima upendeze USIPITE BILA KUANGALIA HAPA


 Kama unavyoona picha hii inaonyesha vazi ambalo linafaa kuvaliwa wakati part za vijana lakini wakati unataka kuvaa nguo hii uwe na uhakika wazee hawatakuwepo
Vazi hili huvaliwa beach
Vazi huvaliwa maofisini hasa na akina dada wa mapokezi


No comments:

Post a Comment