TTCL

EQUITY

Saturday, October 11, 2014

PLATNUM; MAISHA NI HADITHI

Kama hujawahi kumuona, huyu ndiye baba yake Diamond Platnumz

Msanii Diamond Platnumz mara nyingi huonekana kwa umma akimhusisha mama yake, Sanura Kassim “Sandra”, katika maisha yake. Inasemekana wazazi wake waliachana wakati Diamond akiwa na umri mdogo, na machache, kama kuna yoyote, yanayojulikana kuhusu uhusiano wa Diamond na baba yake. Baba mzazi huyo wa Diamond anaitwa Abdul Juma, anaishi Magomeni Kagera, na hizi ndio picha zake
baba diamond platnumz abdul juma 0 Photos: Kama hujawahi kumuona, huyu ndiye baba yake Diamond Platnumz
baba diamond platnumz abdul juma Photos: Kama hujawahi kumuona, huyu ndiye baba yake Diamond Platnumz
baba diamond platnumz abdul juma 1 Photos: Kama hujawahi kumuona, huyu ndiye baba yake Diamond Platnumz
baba diamond platnumz juma Photos: Kama hujawahi kumuona, huyu ndiye baba yake Diamond Platnumz

No comments:

Post a Comment