Toka miaka ya 80 wasanii wemakuwa na kofia tofauti zinazo
watofautisha na wasanii wengine, LL Cool J ,Run D.M.Cwaligundua kofia
aina ya bucket hat ambayo kwa sasa anavaa sana Schoolboy Q. Hizi Picha
za wasanii wengine wenye tamaduni ya kuvaa kofia ya aina moja








No comments:
Post a Comment