TTCL

EQUITY

Wednesday, October 29, 2014

EXCLUSIVE: MSANII DIAMOND KUPEWA PHD CHUO KIKUU CHA MLIMANI NA ATAANZA KUITWA DK. NASSIB.


Ifikapo Tarehe 8 Novemba Saa 10 jioni,Kijana mwenzetu ambaye sisi tunamdharau na wengine wapuuzi kabisa kwa kufeli kwao maisha wana wivu na wanathubutu kumzomea atakuwa anatunukiwa Shahada ya Uzamivu (Phd) na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam(UDSM) kwa kuthamini mchango wake kwenye jamii…Honorary Phd hata Raisi wetu anayo…Alongside DIAMOND mwingine atakayepewa Shahada hii ya Heshima kwenye Mahafali haya ni Balozi Fulgence Kazaura ambaye amewahi kuwa VC wa UDSM miaka ya nyuma!! Ningependa kuwakaribisha wale Wazomeaji woooteee wenye sauti mbaha kabisa waweze kufika kwenye Viwanja vya UDSM kushuhudia Tukio la Kihistoria kwa Mtoto huyu wa Tandale ambaye ni BIDII NA HESHIMA Vimemfikisha hapa.. SHKAMOO Dk. NASIBU ABDUL au Pengine Dk. DIAMOND PLATNUMZ au ukitaka swaga Dk. PLATNUMZ BABY! Sky is never the limit!Hongera kwa Mameneja waliomfikisha DIAMOND hapo alipo.

No comments:

Post a Comment