TTCL

EQUITY

Wednesday, October 29, 2014

Darasa huru; Leo naongea na wale ambao tayari wamesha jitegemea kimaisha


Naongea na wale ambao tayari wamesha jitegemea kimaisha, ambao hawaishi na 
wazazi wao, wanaokumbana na mkono wa Mama/Baba mwenye nyumba kila baada ya miezi sita mitatu au mwaka..

Wanaoishi ki-bachelor lakini wana wapenzi. Katika hii movie ya ki-bachelor wanakumbana na mengi sana,,kuna wanaogeuza ma girl friend zao kuwafanya kama mke,,tabia ya aina hii imepelekea na wao kugeuzwa kama waume,,hapa unakuta kila kitu 

girlfriend anakutegemea wewe akipata kashida kidogo ooohh baby nataka hela.. 
Mazingira ya kuchunwa tunayatengeneza wenyewe usianze kumhisi binti wa watu ni mchwa,,jichunguze kwanza na wewe kinachofanya akunyoshee mkono. 

Ukiweza kuyamudu mambo haya hakika hautayachukia maisha ya ki-bachelor na kumgeuza girl friend kuwa mke, na yeye pia atashindwa kupata ujasiri wa kukutegemea kiasi fulani labda tu kama nitabia yake..

No comments:

Post a Comment