TTCL

EQUITY

Wednesday, October 29, 2014

DARASA HURU; KWA WAKINA DADA WANAOJIONA WAZURI HII INAWAHUSU SANA..!


Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani, urembo wako hauwasumbui, kama bichwa lako ni kanyaboya, uzuri wako hausaidii kitu, na utashangaa no one is paying attention, watu utakaowapata ni
walewale kanyaboya wenzako, na hawana future utabaki unaliwa bure
kila siku unatoa macho.
Ukipata mwanaume anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu danadana, madai yako hujali na unadhani hata akiondoka utapata
mwingine kisa wewe ni mzuri, la hasha! Mwanaume akijitoa mhanga
kukupenda kwa uzuri wako mheshimu, maana wanawake
mkiwa wazuri ni shida na matatizo hakuna mtu anataka, sasa
ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza mpalestina kwako
utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani kwako, maana hicho ndo
kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo, Watch out, drama zina
mwisho, leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa, usidhani
wanaume hawaumii na haya maigizo yenu. mwishowe mnapo wakosa mnaishia kwa waganga na wachungaji kumbe chimbuko ulisha mlaghai...
mjipangeeeeeeeee....
tukutane tena wakati mwingine

No comments:

Post a Comment