TTCL

EQUITY

Tuesday, April 8, 2014

WAZAZI HII SIYO SIFA NI UFUSKA, TUKEMEE MAMBO HAYA... HUYU AKIKUA NI HATARI KUBWA SANA, AIDHA ATACHEZA UCHI

clip_image001Camera man wetu amebahatika kuwakuta akinadada wakimfiudisha mtoto kukatika staili ya khanga moko mitaa ya Makolora huko Tanga na hii hapo juu ndo picha ambaye camera man aliweza kuphotoa kabla hajazuiliwa na madada hao na kumtaka aondoke kwani anawaharibia siku.
Bahati nzuri imetufikia sasa cha kuuliza kwamba mtoto huyu akikua na akawa na tabia hizo nani atalaumiwa kama sio wao na kwa staili hii wazazi mnatakiwa kubeba lawama zote za mambo mabaya ya watoto wenu kwani wanasema Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.

No comments:

Post a Comment