TTCL

EQUITY

Wednesday, December 18, 2013

MWANAIKOLOJIA; DADA WA KAZI ANAVAA HIVI , MAMA MWENYE NYUMBA UPO UNAANGALIA TU, UNATEGEMEA NINI?

http://www.theclicktz.com/ 
Wapo watu ambao bado hawajajua madhara ya mavazi, mavazi yanaweza kuharibu nyumba, dada wa kazi akijiachia namna hii na mwenye nyumba unaangalia tu madhara ni makubwa labda kama mnaishi wawili tu hapo ndani ila kama unaishi na mumeo kazi unayooo..!!

No comments:

Post a Comment