TTCL

EQUITY

Friday, December 20, 2013

JOTI : SANDUKU LA BABU KUINGIA KITAANI

JOTI : SANDUKU LA BABU KUINGIA KITAANI SOON
Sanduku la Babu ambayo ni comedy ya msanii maarufu wa vichekesho akijulikana kama Joti. Ndani ya hii movie Joti amefanya kazi na Mjomba Nishai, Mzee Mpauko pamoja na Aunt Tausi.

Kupitia ukurasa wa Joti wa Facebook alidai kwamba “Muda si mrefu utakuwa nayo nyumbani kwako. Kwa wale ambao mngependa kununua kupitia mtandaoni niandikieni e-mails zenu”.

No comments:

Post a Comment