TTCL

EQUITY

Monday, December 9, 2013

JOKATE MWANGELO ATOAMAONI FACEBOOK KUHUSU UHURU

Leo Watanzania tunapoadhimisha miaka 52 ya uhuru wetu tukumbuke ni kiasi gani wazee wetu walipigania kupata uhuru.

Tukijua ni kiasi gani walitumia nguvu, akili na muda wao kupigania fursa hii tunaweza kuthamini uhuru tulio nao sasa na kuutumia kufanyia mambo mazuri ya kuiendeleza nchi yetu.

Na jambo la muhimu ni kujipatia elimu ili tupate fikra huru, kwani uhuru wa kimwili tu hautoshelezi kutuletea maendeleo.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
Unlike · · · 5111 · 10 minutes ago ·

No comments:

Post a Comment