HUU NDIO UTANDAWAZI....
Jarida moja nchini
Afrika Kusini, Blaque, siku chache zilizopita lilichapisha toleo
lililokwenda kwa jina ‘Men in Heels: Understanding A (Wo)man Better’,
ambapo linahusisha wanaume ambao wamevaa viatu vya kike katika
kusheherekea ‘Mwezi wa Wanawake’.
Baaadhi
ya vikundi vya ushoga waliita kitendo hicho kama kitendo cha mashoga
ila hakuna ishara iliyoonyesha kwamba jamaa hao kweli kuwa ni mashoga.
Angalia picha zaidi hapo chini;
No comments:
Post a Comment