KATIKA makala iliyopita tuliona jinsi mwili unavyoweza kujitibu wenyewe ukipata mlo sahihi. Leo tunapenda kuzungumzia faida za
nazi, ambazo zinatokana na kuwa na mchanganyiko maalum wa aina nyingi
za mafuta zijulikanazo kama ‘medium chain triglycerides’ au kwa kifupi
(MCT’s).
Nazi
ikiliwa na binadamu hugeuza aina hizo za mafuta kuwa tindikali ambayo
kitaalamu huitwa ‘medium chain fatty acids’ au kwa kifupi (MCFA’s)
ambazo huua na kutokomeza virusi vya aina mbalimbali mwilini.
Tui la nazi
Matumizi
ya nazi kama tiba kwa waathirika wa virusi duniani yalilipuka kwa kasi
mwaka 1990 mara baada ya mtafiti wa tiba kutoka Iceland, Bw. Halldor
Thormar, kubaini maajabu ya tiba hii.
Waathirika wa virusi vya
aina mbalimbali duniani waliotumia nazi walitoa ushuhuda wao wa namna
walivyopata nafuu mara baada ya kutumia nazi kama tiba. Licha ya kuponya
maradhi waliyokuwa nayo, iliwaboreshea afya zao na kuonekana kana
kwamba si waathirika tena.
Dozi
yake ni rahisi, unywaji wa glasi nne za tui la nazi kwa siku au vijiko
sita vya mafuta ya nazi kila siku kwa muda wa kati ya miezi mitatu hadi
minne, huweza kuondoa maradhi yote yanayosababishwa na virusi mwilini na
pia kung’arisha ngozi na kuifanya kuwa nyororo.
Ushahidi wa
faida ya nazi kama urembo upo kwa mabinti wa Kizaramo wanaowekwa ndani
na kuchuliwa mwili mzima kwa machicha ya nazi kwa miezi kadhaa, ambapo
wanapotoka nje huonekana warembo wenye ngozi nyororo waliyoipata kiasili
bila kutumia ‘krimu’ au mafuta mengine ya gharama.
Kama sote
tujuavyo, virusi vya Ukimwi hudhoofisha kinga ya mwili. Mwili unapokosa
kinga hushindwa kuzuia virusi vya aina nyingine kukushambulia. Kwa
kawaida tiba ya virusi huwa ni zile dawa zenye uwezo wa kushambulia
virusi (antiviral), bakteria (antibiotic) na zile za kushambulia fangasi
(antifungus).
Hata
hivyo, dawa hizo ni kali sana kiasi cha kuwaumiza watumiaji na huwa na
madhara (side effects) zinapotumiwa kwa muda mrefu, ukiachilia mbali
gharama zake ambazo mwathirika mwenye kipato cha chini hawezi kuzimudu.
Lakini
unaweza kujitibu maradhi yatokanayo na virusi kwa njia rahisi na
salama. Kula nazi kwa wingi kadiri uwezavyo, kama ni muathirika basi
anza kunywa tui la nazi glasi nne kwa siku na utaona maajabu ndani ya
miezi mitatu tu. Kama tayari una vidonda visivyopona basi paka mafuta ya
nazi kila utokapo kuoga, na matokeo utayaona bayana.
Hata hivyo
tunajua kuwa si watu wote wako kwenye mazingira ya kupata nazi kirahisi
au kupata nazi bora yenye virutubisho vinavyotakiwa. Hivyo tunawaomba
msisite kuwasiliana nasi tuwape maelekezo ya kupata nazi bora na mafuta
yake au bidhaa zingine zenye dhamana ya kulinda afya zetu kupitia lishe.
Kwa ushauri, maoni, tafadhali wasilina nasi kupitia namba za simu hapo
juu.
No comments:
Post a Comment