TTCL

EQUITY

Friday, November 29, 2013

WAREMBO WAKICHEZA NGOMA ZA ASILI HUKO JAMAIKA..!!

http://www.theclicktz.com/
Ngoma za asili hapa kwetu Tanzania, zimeonekana kupoteza maana yake wakati nchi za wenzetu hujivunia sana na hata kucheza na kuzitumia kwenye shughuli fofauti. Nchini Jamaika ngoma hizi za asili na muziki pia, vimekuwa vikithaminiwa sana. kila miezi ya kumi na mbili watu hukusanyika na kucheza ngoma na nyimbo zao hii hudumisha utamaduni na uzalendo.

No comments:

Post a Comment