TTCL

EQUITY

Tuesday, November 26, 2013

VAZI JIPYA LINALOLETA UTATA HUKO KWA MAREKANI

Hivi karibuni kumekua na mzozo juu ya vazi jipya (hapo pichani) ambalo kama linavyoonekana linaacha sehemu kubwa ya mwili wa mvaaji(mwanamke) kuwa wazi.Vazi hili, ambalo inaaminika lilibuniwa huko Marekani linaletashida sana kwani hua linachangia katika kuamsha vishawishi vya ngono.Haijulikani kama vazi hili limeshatinga ndani ya ardhi ya bongo

No comments:

Post a Comment