TTCL

EQUITY

Friday, November 29, 2013

RECORD!MWANAMKE AFUGA KUCHA ZAKE KWA MIAKA NANE ZINA UREFU WA INCH 14 [PICHA].....

LaRue ambaye kucha zake ni Inch 14 akionyesha jinsi anavyo osha vyombo na kucha hizo
Kazi inaendelea kama kawa
Maria Ortiz akimtengeneza kucha LaRue
Kutengeza kucha zake huwa kuna mgharimu dola 100 na huwa anaenda kuzitengeneza kila mwezi huku kazi yote inaweza chukua hadi masaa 12.
Kazi ya kupaka rangi ikiendelea
Maria Ortiz (blonde lady) akiwa na baadhi ya wateja wake wenye makucha marefu.
LaRue poses with her daughters
Urembo kazi jamani. Napenda kucha lakini hizi kiboko

No comments:

Post a Comment