TTCL

EQUITY

Wednesday, November 20, 2013

MAKTABA YETU LEO

http://theclicktz.blogspot.com/
Hawa ni warembo wa huko Swaziland wakisuburi kuchaguliwa kama wake, na Mfalume wao king Mswati, kwani ni utaratibu wake kuchagua mwanamke bikiri kila baada ya muda fulani na kuoa. Hivyo ikifikia hicho kipindi wanawake wingi hujitokeza kila mtu akisubiri bahati yake kuchaguliwa na mfalme huyo, hapa nadhani wengi wetu tumeshaanza kumeza mate nakujisemea moyoni laiti wangekuwapo Tanzania, ama sivyo mimi ningekuwa Mfalme...


http://theclicktz.blogspot.com/
King Mswati Mwenyewe

No comments:

Post a Comment