TTCL

EQUITY

Tuesday, November 26, 2013

Kizazi cha Google...


Baba: yaan nyie watoto wa siku hizi siwaelewi kabisa, sijui mna matatizo gan,!
Mtoto: kwa nini baba?
Baba: kila kitu google, mkiulizwa kitu kidogo tu mnakimbilia ku google , ni kwa nini?
Mtoto: ngoja nika google halafu nitakujibu.

No comments:

Post a Comment