TTCL

EQUITY

Tuesday, November 26, 2013

JIANDAE KUMUONA JOKATE

NI KATIKA SEASON MPYA KATIKA TAHMTHILIA YA "SIRI YA MTUNGI".CHEKI HAPA BAATHI YA SCENE AKIWA LOCATION!!!

 

First runner up wa Miss Tanzania 2006 Jokate Mwegelo hivi sasa yupo kwenye
maandalizi ya sehemu nyingine utakayo enjoy kumuangalia akifanya kazi ya acting.
@JokateM ameshiriki kwenye kazi tofauti za movie kama Fake Pastor ikiwa ni ya mwanzo kabisa kwake akiwa na Lisa Jensen,Johari na wengine.
Hivi sasa utamuona kwenye season mpya ya tamthilia pendwa ya Siri ya Mtungi ambayo inashirikisha wasanii kama Monalisa na wengine.
Hizi ni baadhi ya picha za uandaaji wa season mpya na Jokate akiwa kwenyesehemu ya uandaaji wa Siri ya Mtungi mpya.

 
4


5


1
2

No comments:

Post a Comment