TTCL

EQUITY

Sunday, October 13, 2013

HUU NDIO UTARATIBU MPYA WA KUINGIA MLIMANI CITY BAADA YA KUTOKEA UVAMIZI WESTGATE‏

 
 Kijana akikaguliwa kwa umakini baada ya kutiliwa mashaka na walinzi wa Mlimani City leo mchana
 
 Mlinzi wa kike akiwasubiria wanawake watakaoingia kwenye jengo la mlimani city ili hawakague
Ukaguzi ukiendela
baadhi ya wateja walioruhusiwa kuingia ndani baada ya ukaguzi

  
ukaguzi ukiendelea

No comments:

Post a Comment