TTCL

EQUITY

Friday, July 19, 2013

MUNGU WANGU:BINTI ABAKWA MPAKA KUFA MBELE YA KANISA


Binti mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Mariam umemkuta umauti baada ya kubakwa mpaka kufa,vijana hao waliokosa utu na kushindwa kumuogopa Mungu walifanya kitendo hicho mbele ya eneo la kanisa huko Nachingwea Lindi.Marehemu akitoka Nachingwea Resort  katika muziki siku ya ijumaa.Inasadikika kuwa marehemu alikuwa amelewa na watu walio mbaka alitoka nao kwenye muziki.

Soma zaidi: http://mwanahabariuswazi.blogspot.com/2013/03/mungu-wangubinti-abakwa-mpaka-kufa.html#ixzz2ZUY8iQHR

No comments:

Post a Comment