TTCL

EQUITY

Friday, July 19, 2013

MTUWIE RADHI KWA PICHA HIZI BINTI ABAKWA NA KUCHOMEKWA MIWA SEHEMU ZA SIRI


Mdada mwenye miaka 9 mkazi wa kijiji kimoja nchini brazil,mapema wikiendi hii amebakwa karibu na shamba la miwa na watu wanaoaminika kuwa ni watumiaji wa madawa ya kulevya...


Baada ya kumbaka, vijana hao walimchoma na miwa katika sehemu zake za siri na kumsababishia maumivu makali yaliyomfanya apoteze maisha

Soma zaidi: http://mwanahabariuswazi.blogspot.com/2013/07/mtuwie-radhi-kwa-picha-hizi-binti.html#ixzz2ZUTTR3hS

No comments:

Post a Comment