TTCL

EQUITY

Friday, July 5, 2013

MISRI HALI BADO NI TETE!!

aliyepinduliwa wajipanga kwa maandamano baada ya swala ya Ijumaa leo

12 13 14 15 16 17 18 19 20fight
 Wafuasi wa chama cha Muslim Brotherhood wanaomuunga mkono Rais wa Misri aliyeondolewa madarakani na Jeshi wameapa kuandamana nchi nzima leo baada ya swala ya Ijumaa kupinga kuondolewa madarakani

No comments:

Post a Comment