TTCL

EQUITY

Thursday, July 4, 2013

Dar es salaam inazidi kukua, hili jengo limezinduliwa July 3 2013

.
.
Linaitwa Msasani City Mall, lipo pembeni kidogo ya Ubalozi wa Marekani… pichaz zaidi za lilivyojengwa na muonekano wa mchana zinakuja soon…. ila kwa sasa unaweza kuendelea na hizi nyingine hapa chini
.
.
.
Wakati wa uzinduzi mastaa wa bongofleva Shetta na Diamond Platnums walifanya kazi yao pia.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

No comments:

Post a Comment